Ezekieli 41:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Yule mtu akapima urefu wa jengo hadi magharibi pamoja na mabaraza yake pande zake zote, nalo lilikuwa na urefu wa mita 50.Chumba cha kuingilia hekaluni, mahali patakatifu, na mahali patakatifu kabisa,

Ezekieli 41

Ezekieli 41:7-24