Ezekieli 30:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Vita vitazuka dhidi ya Misri,na wasiwasi mkuu utaikumba nchi ya Kushi,wakati Wamisri wengi wataanguka wameuawa,mali zao zitakapochukuliwa,na misingi ya miji yao kubomolewa.

Ezekieli 30

Ezekieli 30:3-10