Ezekieli 30:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Nebukadneza mwenyewe pamoja na watu wake,taifa katili kuliko mataifa yote,watatumwa kuiangamiza nchi ya Misri.Watachomoa panga zao dhidi ya Misrina kuijaza nchi hiyo watu waliouawa.

Ezekieli 30

Ezekieli 30:6-19