Ezekieli 23:1-2 Biblia Habari Njema (BHN) Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: “Wewe mtu! Palikuwa na binti wawili, wote wa mama mmoja.