1. Siku moja baadhi ya wazee wa Israeli walinitembelea kutaka shauri.
2. Basi neno la Mwenyezi-Mungu likanijia:
3. “Wewe mtu, watu hawa wamekubali mioyo yao itawaliwe na sanamu za miungu; miungu hiyo inawaelekeza kutenda dhambi. Je, nitakubali kuulizwa nao shauri?