Ezekieli 12:26-28 Biblia Habari Njema (BHN)

26. Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia:

27. “Wewe mtu, Waisraeli wanafikiri kwamba maono yako yanahusu siku za baadaye sana, na unabii wako wahusu nyakati za mbali sana!

28. Kwa hiyo waambie, kwamba mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema kuwa maneno yangu yote yatatimia karibuni. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema!”

Ezekieli 12