Danieli 9:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Nilimwomba Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, na kuungama, nikisema:“Ee Bwana, wewe ni Mungu mkuu na wa kuogofya. Wewe ni mwaminifu kwa agano lako na unawafadhili wakupendao na kuzitii amri zako.

Danieli 9

Danieli 9:1-10