Danieli 4:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Jinsi gani zilivyo kubwa ishara zake Mungu!Maajabu yake ni makuu mno!Ufalme wake ni ufalme wa milele;enzi yake yadumu kizazi hata kizazi.

Danieli 4

Danieli 4:1-12