Amosi 9:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Mimi, Bwana Mwenyezi-Mungu nautazama ufalme wenye dhambi,na nitauangamiza kabisa kutoka duniani.Lakini sitawaangamiza wazawa wote wa Yakobo.

Amosi 9

Amosi 9:5-14