Mnajisemea mioyoni mwenu:“Sikukuu ya mwezi mwandamo itakwisha liniili tuanze tena kuuza nafaka yetu?Siku ya Sabato itakwisha liniili tupate kuuza ngano yetu?Tutatumia vipimo hafifu vya wastani na uzito,tutadanganya watu kwa mizani isizo sawa,