Amosi 7:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu alinijalia tena maono mengine: Nilimwona Mwenyezi-Mungu amesimama karibu na ukuta, ameshika mkononi mwake uzi wenye timazi.

Amosi 7

Amosi 7:4-14