Amosi 6:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Mnakunywa divai kwa mabakuli,na kujipaka marashi mazuri mno.Lakini hamhuzuniki hata kidogojuu ya kuangamia kwa wazawa wa Yosefu.

Amosi 6

Amosi 6:1-8