Amosi 6:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema hivi:“Enyi Waisraeli,kweli nitaleta taifa moja lije kuwashambulia,nalo litawatesa nyinyi kuanzia Lebo-hamathi kaskazini,hadi kijito cha Araba, upande wa kusini.”

Amosi 6

Amosi 6:7-14