Amosi 6:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Je, farasi waweza kupiga mbio miambani?Je, watu huilima bahari kwa ng'ombe?Lakini nyinyi mmeigeuza haki kuwa sumu,na tunda la uadilifu kuwa uchungu.

Amosi 6

Amosi 6:7-13