Amosi 6:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Ole wenu nyinyi mnaostarehe huko Siyoni,nanyi mnaojiona salama mlimani Samaria!Nyinyi mwaonekana kuwa viongozi wa taifa maarufuambao Waisraeli wote huwategemea.

Amosi 6

Amosi 6:1-7