Amosi 5:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Mtafuteni Mwenyezi-Mungu, nanyi mtaishi!La sivyo, atawalipukia wazawa wa Yosefu kama moto;moto utawateketeza wakazi wa Bethelina hakuna mtu atakayeweza kuuzima.

Amosi 5

Amosi 5:2-7