Amosi 5:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Mjaponitolea sadaka zenu za kuteketezwa na za nafaka,mimi sitakubali kuzipokea;na sadaka zenu za amani za wanyama wanonomimi sitaziangalia kabisa.

Amosi 5

Amosi 5:18-23