Amosi 5:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Mambo yatakuwa kama mtu aliyekimbia simba,halafu akakumbana na dubu!Au kama mtu anayerudi nyumbani kwake,akatia mkono ukutani, akaumwa na nyoka.

Amosi 5

Amosi 5:17-23