Amosi 5:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Maana mimi najua wingi wa makosa yenuna ukubwa wa dhambi zenu;nyinyi mnawatesa watu wema,mnapokea rushwana kuzuia fukara wasipate haki mahakamani.

Amosi 5

Amosi 5:4-18