Amosi 4:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Toeni tambiko ya shukrani ya mikate iliyochachushwa.Tangazeni popote kwamba mmetoa kwa hiari;kwani ndivyo mnavyopenda kufanya!Mimi Bwana Mungu nimenena.

Amosi 4

Amosi 4:1-11