Amosi alisema hivi:Mwenyezi-Mungu ananguruma kutoka mlima Siyoni,anavumisha sauti yake kutoka Yerusalemu,hata malisho ya wachungaji yanakauka,nyasi mlimani Karmeli zinanyauka.