Amosi 1:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Watu wa Edomu wametenda dhambi tena na tena,kwa hiyo sitaacha kuwaadhibu.Waliwawinda ndugu zao Waisraeli kwa mapanga,wakaitupilia mbali huruma yao yote ya kindugu.Hasira yao haikuwa na kikomo,waliiacha iwake daima.

Amosi 1

Amosi 1:4-13