2 Wafalme 25:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Kila nguzo ilikuwa na urefu wa mita 8, na juu yake kulikuwa na kichwa cha shaba nyeusi, urefu wa kila kichwa ulikuwa mita 1.25. Kila kichwa kilizungushiwa mapambo ya makomamanga, yote ya shaba nyeusi.

2 Wafalme 25

2 Wafalme 25:16-21