2 Wafalme 24:18 Biblia Habari Njema (BHN)

Sedekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mmoja alipoanza kutawala; alitawala kwa muda wa miaka kumi na mmoja huko Yerusalemu. Mama yake aliitwa Hamutali binti Yeremia, mkazi wa mji wa Libna.

2 Wafalme 24

2 Wafalme 24:13-20