2 Wafalme 23:36 Biblia Habari Njema (BHN)

Yehoyakimu alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala, na alitawala huko Yerusalemu kwa muda wa miaka kumi na mmoja. Jina la mama yake lilikuwa Zebida binti Pedaya wa Ruma.

2 Wafalme 23

2 Wafalme 23:29-37