2 Wafalme 19:26 Biblia Habari Njema (BHN)

Wakazi wake wakiwa wameishiwa nguvu,wametishika na kufadhaika,wamekuwa kama mimea ya shambani,kama majani yasiyo na nguvu.Kama majani yaotayo juu ya paa;yakaukavyo kabla ya kukua.

2 Wafalme 19

2 Wafalme 19:23-27