2 Wafalme 15:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Katika mwaka wa thelathini na tisa wa enzi ya mfalme Azaria wa Yuda, Menahemu mwana wa Gadi alianza kutawala Israeli, akatawala huko Samaria kwa muda wa miaka kumi.

2 Wafalme 15

2 Wafalme 15:11-23