2 Wafalme 12:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Waliomuua ni Yozakari mwana wa Shimeathi na Yehozabadi mwana wa Shomeri watumishi wake. Halafu walimzika katika makaburi ya kifalme katika mji wa Daudi; naye Amazia, mwanawe, akatawala mahali pake.

2 Wafalme 12

2 Wafalme 12:14-21