nakuandikia wewe mwanangu mpenzi Timotheo.Nakutakia neema, huruma na amani kutoka kwa Mungu Baba na Kristo Yesu Bwana wetu.