2 Samueli 9:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha, mfalme Daudi akamwita Siba mtumishi wa Shauli, akamwambia, “Ile mali yote iliyokuwa ya Shauli na jamaa yake nimempa mjukuu wa bwana wako.

2 Samueli 9

2 Samueli 9:1-13