2 Samueli 6:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Walipofika kwenye uwanja wa kupuria nafaka wa Nakoni, Uza aliunyosha mkono wake na kulishika sanduku la Mungu kwa sababu wale ng'ombe walijikwaa.

2 Samueli 6

2 Samueli 6:1-12