2 Samueli 5:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, wazee wote wa Israeli wakamwendea mfalme Daudi huko Hebroni; naye akafanya agano nao mbele ya Mwenyezi-Mungu, halafu wakampaka Daudi mafuta awe mfalme wa Israeli.

2 Samueli 5

2 Samueli 5:1-10