2 Samueli 3:5 Biblia Habari Njema (BHN)

na Ithreamu, mzaliwa wake wa sita, mama yake alikuwa Egla, mke wake Daudi. Daudi alizaliwa wana hawa wote alipokuwa huko Hebroni.

2 Samueli 3

2 Samueli 3:1-8