2 Samueli 22:7 Biblia Habari Njema (BHN)

“Katika taabu yangu, nilimwita Mwenyezi-Mungu;nilimwita Mungu wangu.Toka hekaluni mwake aliisikia sauti yangu,kilio changu kilimfikia masikioni mwake.

2 Samueli 22

2 Samueli 22:1-13