2 Samueli 20:24-26 Biblia Habari Njema (BHN)

24. Adoramu alikuwa msimamizi wa kazi za kulazimishwa; Yehoshafati alikuwa mwandishi wa kumbukumbu.

25. Shausha alikuwa katibu; Sadoki na Abiathari walikuwa makuhani.

26. Ira, Myairi alikuwa pia kuhani wa Daudi.

2 Samueli 20