2 Samueli 19:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha, mfalme akatoka akaenda, akaketi mahali pake karibu na lango. Watu wote walipoambiwa kuwa mfalme yuko langoni, wote walimwendea.Wakati huo, watu wote wa Israeli walikuwa wamekimbia, kila mmoja nyumbani kwake.

2 Samueli 19

2 Samueli 19:1-13