2 Samueli 18:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Ndipo Yoabu akamwambia mtu mmoja, Mkushi, “Wewe, nenda ukamweleze mfalme yale uliyoona.” Mkushi akainama kwa heshima mbele ya Yoabu, akaondoka mbio.

2 Samueli 18

2 Samueli 18:12-26