2 Samueli 17:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa hiyo, Daudi akaondoka na watu wote waliokuwa pamoja naye, wakavuka mto Yordani. Ilipofika asubuhi hakuna mtu aliyebaki nyuma bila kuvuka mto Yordani.

2 Samueli 17

2 Samueli 17:20-29