2 Samueli 16:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Shimei alimlaani Daudi akisema, “Nenda zako; nenda zako, wewe mtu mwuaji, mtu asiye na faida!

2 Samueli 16

2 Samueli 16:5-11