2 Samueli 10:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Yoabu alipoona kuwa vita ni vikali dhidi yake, mbele na nyuma, aliwateua baadhi ya wanajeshi Waisraeli hodari zaidi akawapanga kukabiliana na Waaramu.

2 Samueli 10

2 Samueli 10:3-13