2 Samueli 1:21 Biblia Habari Njema (BHN)

“Enyi milima ya Gilboa,msiwe na umande au mvua juu yenu.Wala mashamba yenu daima yasitoe chochote.Maana huko ngao za shujaa zilitiwa najisi,ngao ya Shauli haikupakwa mafuta.

2 Samueli 1

2 Samueli 1:16-25