2 Mambo Ya Nyakati 6:34-36 Biblia Habari Njema (BHN)

34. “Watu wako wakienda vitani kupigana na maadui zao kokote kule utakakowapeleka, nao wakikuomba wakielekea mji huu uliouchagua na nyumba ambayo nimeijenga kwa ajili ya jina lako,

35. nakusihi usikie sala yao na maombi yao ukiwa huko mbinguni na uwapatie ushindi vitani.

36. “Ikiwa watatenda dhambi dhidi yako, maana hakuna mtu asiyetenda dhambi, na ukiwakasirikia na kuwaacha washindwe na adui, hata wapelekwe mateka mpaka nchi ya mbali au ya karibu;

2 Mambo Ya Nyakati 6