2 Mambo Ya Nyakati 20:37 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini Eliezeri mwana wa Dodavahu, kutoka mji wa Maresha, akatoa unabii dhidi ya Yehoshafati, akisema, “Kwa sababu umejiunga na Ahazia, Mwenyezi-Mungu atavunja merikebu zote mlizotengeneza.” Baadaye merikebu hizo zilivunjikavunjika; kwa hiyo hazikuweza kusafiri mpaka Tarshishi.

2 Mambo Ya Nyakati 20

2 Mambo Ya Nyakati 20:30-37