2 Mambo Ya Nyakati 19:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini mwonaji Yehu mwana wa Hanani, alikwenda kumlaki mfalme, akamwambia, “Je, unadhani ni vema kuwasaidia waovu na kuwapenda wamchukiao Mwenyezi-Mungu? Mambo uliyofanya yamekuletea ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu.

2 Mambo Ya Nyakati 19

2 Mambo Ya Nyakati 19:1-10