1 Wafalme 3:27 Biblia Habari Njema (BHN)

Mfalme Solomoni akasema, “Usimuue mtoto! Mpe mwanamke wa kwanza amchukue, kwani yeye ndiye mama yake.”

1 Wafalme 3

1 Wafalme 3:26-28