1 Wafalme 22:26 Biblia Habari Njema (BHN)

Naye mfalme wa Israeli akatoa amri, “Mkamateni Mikaya; mrudisheni kwa Amoni, mkuu wa mji, na kwa Yoashi mwana wa mfalme.

1 Wafalme 22

1 Wafalme 22:25-35