1 Wafalme 15:1-2 Biblia Habari Njema (BHN) Abiya alianza kutawala huko Yuda mnamo mwaka wa kumi na nane wa utawala wa mfalme Yeroboamu, mwanawe Nebati.