1 Samueli 9:9 Biblia Habari Njema (BHN)

(Hapo awali katika Israeli kama mtu akitaka kumwomba Mungu shauri, alisema, “Haya, njoo, twende kwa mwonaji.” Kwani mtu anayeitwa nabii siku hizi hapo awali aliitwa mwonaji).

1 Samueli 9

1 Samueli 9:4-10