1 Samueli 23:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, Daudi akaenda Keila pamoja na watu wake, na huko akapigana na Wafilisti, akawaua Wafilisti wengi na kuteka nyara ng'ombe wengi. Hivyo Daudi aliwaokoa wakazi wa Keila.

1 Samueli 23

1 Samueli 23:2-8