1 Samueli 22:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Kutoka huko, Daudi alikwenda mpaka huko Mizpa nchini Moabu. Akamwambia mfalme wa Moabu, “Nakuomba, baba yangu na mama yangu wakae hapa kwako mpaka nijue Mungu atanifanyia nini.”

1 Samueli 22

1 Samueli 22:1-5